Utalii Zanzibar na changamoto ya biashara ya ngono. Kisibi Isaya utalii, Videos, Changamoto za sekta ya utalii visiwani Zanzibar. Tatizo la biashara ya utalii wa ngono "SexTourism" likionekana kuendelea kushamiri visiwani humo. Makala maalum ya BBC Swahili Muaandaaji - Baruan Abdallah Muhuza www.bbcswahili.com Upi mtazamo wako na maoni yako kuhusu hili linaloonekana kushamiri kwa kasi visiwani humo?! NextNewer Post PreviousOlder Post utalii Videos
Post A Comment: