The Lyrics - Maandishi |
Hii
ni track ya kwanza kutoka Revolution Sound. Tumewaletea kitu cha ukweli
na ninaamini mtakipenda wadau. Sikiliza na share na marafiki popote.
Music For Life
Deey Classic |
Sikiliza ngoma hiyo hapa. Pia kwa kuna interview maalum ya siku ya wimbo huo ulipoachiwa rasmi.
BOFYA (CLICK) PICHA HII YA REVOLUTION SOUND KUSIKILIZA WIMBO PAMOJ NA INTERVIEW.
Post A Comment: