Articles by "Kisibi Isaya"
Showing posts with label Kisibi Isaya. Show all posts
Kicbjamii Tanzania; Graphics Design, Website Design/Development, Pictures and Articles.
POSTERS DESIGN COLLECTION BY KICBJAMII (PUBLIC USED AND NO PUBLIC USED)

Designs of different posters of the Television Program THE BIG AJENDA as hoted by "MTOZI" Alloyce Nyanda.
All Design by Kisibi Isaya

#KicbjamiiTanzania
Mawasiliano | Contacts: kisibilive@gmail.com | Skype - live:kicbjamii
Kicbjamii Tanzania; Graphics Design, Website Design/Development, Pictures and Articles.

#KicbjamiiTanzania Mawasiliano | Contacts: kisibilive@gmail.com or kicbjamii@yahoo.com Skype - live:kicbjamii | Twitter/Instagram - @kicbjamii
Kicbjamii Tanzania; Graphics Design, Website Design/Development, Pictures and Articles.
Jumatatu ya wiki iliyopita nilikuwa katika chombo kimoja cha habari hapa Tanzania na mada ilikuwa inahusiana na matumizi/usalama wa masuala.ya mtandao. Binafsi baada ya kipindi kile nilipata ujumbe mwingi sana kutoka sehemu tofauti kuhusiana na namna gani wanaweza kuwa salama wanapotumia mtandao.

Niseme tu ya kwamba yote mliyoniambia nimeyaona na nitayazingatia yaliyo katika misingi.
Mwisho mliniambia kuwa mngependa angalau hata kama ni kwa uchache muweze kupata ufahamu wa usalama wa mtandao nami nasema ya kuwa sasa nimewatayarishia machapisho kwaajili ya masuala hayo. Kaeni tayari kupokea kitu kizuri na nitawataarifu wapi pa kukipata.Asanteni sana kwa ushirikiano wenu.Nakaribisha mawazo na maoni.
Kicbjamii Tanzania; Graphics Design, Website Design/Development, Pictures and Articles.
Nilifikiria sana uamuzi wa kuanza kutumia smartphone yoyote ile. Nimeona zote ni sawa ila zinatofautiana kidogo.
The New iPhone Deisgned For Kicbjamii
Kicbjamii Tanzania; Graphics Design, Website Design/Development, Pictures and Articles.

We are.....

Ilikuwa ni Redd's Miss Lake Zone 2013, paleee... Gold Crest Hotel Mwanza, Mwanza a.k. the Rock/Rap City.
It Was so good.... the show was!