ROAD TO NYANZA FESTIVAL 2017
Kila kitu ni official sasa. Hii ni maalum kwa ajili ya sanaa na wasanii wa kanda ya ziwa. Vipaji vinavumbuliwa. Wakongwe na wadau wameshoosha mikono kusukuma gurudumu.
Usaili ni mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa kanda ya ziwa.
1. Muziki
2. Dancers
3. Comedy
4. Movie
5. Modeling
6. Deejaying
N.K
Jiunge na sisi sasa tuianze safari hii ya vijana zaidi ya 5000 pamoja na wewe.
Bado tunakaribisha WADHAMINI, WAFADHILI na WASHIRIKA kuungana nasi.
#NyanzaFestival
#NyanzaFestiva2017
#RoadToNyanzsFestival
@nyanzafestivaltz
#music #dance #movie #event #deejaying #comedy #festival #tanzania #mwanza
Post A Comment: