#FIANCÉE ni ujio mpya wa mwanamuziki Ray C akiwa ameshirikishwa na mkali wa miondoko ya Ragga/DanceHall & R n' B Director Fizy Bahaj @fizybahaj @rayctanzania
Ngoma imefanywa B-Hitz Record chini ya wakali Hermy B na Pancho Latino.
@hermyb @pancholatino
Isikilize kupitia soundcloud
https://m.soundcloud.com/kicbjamii/fiancee
#artwork #designed and #Supported by @kicbjamii
Post A Comment: