Siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani... ambapo hapa nchini Tanzania kitaifa maadhimisho hayo yamefanyika mkoani Mwanza na mgeni rasmi akiwa ni waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo, ndugu Nape Nnauye.

Mtazamo:
Bado kama taifa kwa mwananchi mmoja mmoja, tunahitaji sana kuwa na uelewa kuhusu masuala ya habari kwa ujumla badala ya kuviachia vyombo vya habari pekee...

Axact

Post A Comment: