SPECIAL KWA AJILI YA "WAKINAMAMA"
(LADIES)
**je wewe ni mama wa nyumbani?
**au upon nyumbani huna cha kufanya??
**unapenda kujisugulisha?
Njoo upate ujuzi wa kutengeneza na kujitegemea kiuchumi.
Nakualika siku ya jumapili katika mafunzo maalum ya namna ya kutengeneza pesa ukiwa nyumbani,
Tutakuwepo
BBQ restaurant
SAA nane kamili mchana Iringa.
Mualike na mwanamama mwenzako.
@womenempowernment
Follow instagram @neema_mollel @neema_mollel @neema_mollel
0768642161
#design by @kicbjamii
BattleZone 2017 is sponsored by #KICBJAMII @kicbjamii
Hello From BATTLE ZONE 2017. #Dance Freestyle ✔ #HipHop Freestyle✔ Comedian❌ Drama ❌
Kwa wale wakali wote wa Freestyle in Town,kwani hauwezi kuwa mkali wao kama haujapimana nao, So tunaileta kwenu BATTLE ZONE.
Cha kufanya chukua fomu yako na usubirie kudhihirisha umwamba wako mbele ya jukwaa letu.
Asante sana kwa Support zenu na pia kuwa na imani nasi..
@cocacolamwanza
@tigo_tanzania
@kicbjamii
@jambocola
@kvantgin
@rockcity_beauty_point
@battlezone2017
@cute911.b
@double_j_entertainment
@iamwhitefish
PLZ Support zenu muhimu sana,ku #Share na #Kupost ili Nchi nzima wajue nini kinatokea Mwanza.
Asante.
WeLove U
DonTryUs
We bring back our Talents.
#graphics #design by @kicbjamii
ROAD TO NYANZA FESTIVAL 2017
Kila kitu ni official sasa. Hii ni maalum kwa ajili ya sanaa na wasanii wa kanda ya ziwa. Vipaji vinavumbuliwa. Wakongwe na wadau wameshoosha mikono kusukuma gurudumu.
Usaili ni mtaa kwa mtaa, mkoa kwa mkoa kanda ya ziwa.
1. Muziki
2. Dancers
3. Comedy
4. Movie
5. Modeling
6. Deejaying
N.K
Jiunge na sisi sasa tuianze safari hii ya vijana zaidi ya 5000 pamoja na wewe.
Bado tunakaribisha WADHAMINI, WAFADHILI na WASHIRIKA kuungana nasi.
#NyanzaFestival
#NyanzaFestiva2017
#RoadToNyanzsFestival
@nyanzafestivaltz
#music #dance #movie #event #deejaying #comedy #festival #tanzania #mwanza














